
Wakazi 12 wa Ifakara-Morogoro wafikishwa mahakamani kwa kuongoza genge la uhalifu kujipatia pesa
Wakazi 12 wa Ifakara mkoa wa Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia pesa shilingi millioni 10 kwa njia ya udanganyifu. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Ushindi Swalo ambapo Wakili wa Serikali…