
Makamba ataja faida 10 ziara za viongozi nje
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema katika kipindi cha Julai 2023 hadi Aprili 2024, wizara hiyo iliratibu ziara 31 za viongozi wakuu wa kitaifa nje ya nchi na kuleta manufaa mbalimbali nchini ikiwamo kufungua milango ya kiuchumi kupitia uhusiano wa kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia amesema…