
Nicki Minaj atangaza tarehe mpya ya show yake baada ya kukamatwa kwenye uwanja wa ndege
Baada ya kulazimishwa kughairi onyesho lake wikendi iliyopita kufuatia kukamatwa kwake na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Amsterdam Schiphol, rapa Nicki Minaj alitangaza tarehe mpya iliyopangwa tena kwaajili ya tamasha lake la Pink Friday 2 Tour. Akitumia mtandao wake wa kijamii Jumatatu, Mei 27, hitmaker huyo wa Anaconda alitangaza kuwa onyesho hilo…