
Waziri Profesa Mkenda ataka Ubunifu wa Kifaa cha kuongeza usikivu kwenda mashuleni
*Abainisha kuwa na bajeti ya vifaa hivyo kwenda kusaidia wanafunzi shuleni Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tanga Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa kifaa kilichobuniwa na Chuo Cha VETA Kigoma cha kuongeza usikivu ni msaada mkubwa kwa Serikali kutokana na baadhi ya wanafunzi wanachangamoto ya usikivu hivyo sasa ni wakati…