NBAA YATOA ELIMU KWA WANANCHI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU – MWANAHARAKATI MZALENDO

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imejipanga kuhakikisha inaendelea kutoa Elimu kwa wananchi katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, ujuzi na ubunifu mwaka 2024 yenye kauli mbiu isemayo “Elimu, ujuzi na ubunifu kwa uchumi shindani” yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.   Ameyasema hayo Afisa Uhusiano na Mawasiliano…

Read More

FCC, TRADEMARK AFRICA ZASAINI MKATABA WA BIL.1.5

Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio, (wa pili kulia), na Mkurugenzi wa Trademark Africa, Elibariki Shammy, (kushoto) wakisaini mkataba wa mashirikiano kati ya Taasisi hizo Mei 27,2024 Jijini Dar es Salaam  Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio, (kulia), na Mkurugenzi wa Trademark Africa, Elibariki Shammy, (kushoto) wakionesha hati za mikataba baada ya kusaini Jijini Dar…

Read More