
“Samia Skolashipu siyo mkopo, Serikali itakulipia gharama zote” Mkenda
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo (Jumatatu, Mei 27, 2024) amezindua miongozo ya utoaji wa ruzuku na mikopo kwa mwaka wa masomo 2024-2025 na kuwataka wanafunzi kusoma kwa juhudi ili kunufaika na fursa zinazotolewa na serikali kupitia mikopo na ruzuku. Miongozo iliyozinduliwa ni ‘Mwongozo wa Utoaji Ruzuku za Samia kwa…