
Afrika Kusini inajipambanua kama mshirika muhimu kimataifa – DW – 27.05.2024
Afrika Kusini imekuwa mstari wa mbele katika kutatua migogoro kadhaa kwa njia ya amani barani Afrika, mfano, vita vya wenyewe kwa wenyewe vya mwaka 2022 katika eneo la Tigray nchini Ethiopia. Nje ya bara la Afrika, Afrika Kusini ilijaribu kuchukua nafasi kubwa ya upatanishi katika vita vya Urusi na Ukraine, Rais Cyril Ramaphosa alizungumza na…