Kalito atamani kuanzishwe shule ya upishi Tanzania

Dar es Salaam. Safari ya Miaka 20 ya mburudishaji Carlos Bastos Mella ambaye yupo nyuma ya maeneo mengi ya burudani jijini Dar es Salaam, ameshauri kuanzishwa shule za upishi na usimamizi wa hoteli nchini ili kuongeza ufanisi katika tasnia hiyo. Carlos Bastos Mella, anayejulikana kama “Kalito,” ni raia wa Hispania kwake ilikuwa kama bahati ya…

Read More

Mziba arusha jiwe gizani Simba

KITENDO cha Simba kudondosha ubingwa mara tatu mfululizo kimemuibua staa wa zamani wa Yanga, Abeid Mziba kuhoji usajili unaofanywa na viongozi wa klabu hiyo una manufaa au ni wa mazoea. Mziba alikuwa akijibu swali la Mwanaspoti aliloulizwa kwa uzoefu wake anadhani Simba inakwama wapi? na majibu yake yalikuwa hivi: “Siwezi kuwalaumu viongozi wa Simba moja…

Read More

Coastal: Ikija pesa nzuri tunauza mastaa

BAADA ya kujihakikishia kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, Coastal Union imesema haitakubali kuondokewa kirahisi na nyota wake walioonyesha viwango bora, bali ni kwa maslahi mapana ya timu hiyo. Costal Union inatarajia kushiriki michuano hiyo kufuatia kumaliza katika nafasi ya nne kwenye Ligi Kuu, ambapo itakuwa mara ya pili kucheza kimataifa baada…

Read More

ASP Mwakinyuke: Wazazi waache tabia ya kuwaogopa watoto wao

Dar es Salaam. Wazazi nchini wametakiwa kuacha kuwaogopa watoto wao na badala yake wanaoaswa kuwafanya marafiki ili wafahamu kila changamoto inayowakabili. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabata jijini Dar es Salaam, ASP David Mwakinyuke, akisema kama kuna jambo ambalo mzazi anapaswa kulipa kipaumbele ni kuacha kuogopa kuzungumza na mwanaye na kumweleza…

Read More

BENKI KUU KUSIMAMIA KANZIDATA YA TAARIFA ZA WAKOPAJI

 Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.   Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo Tanzania Limited na Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited.   Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati…

Read More

Biashara United wanaitaka timu yoyote Ligi Kuu

‘AJE yeyote’. Ni kauli na tambo za Biashara United ikieleza kuwa tayari kukabiliana na mpinzani yeyote wa Ligi Kuu katika mchezo wa mchujo (play off) kutafuta kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao. Biashara United ina uwezekano wa kukutana kati ya Kagera Sugar na Tabora United ambazo zipo nafasi ya 13 na 14 kwenye msimamo wa…

Read More