
Dk Mpango: Uchafuzi mazingira mijini bado changamoto
Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema uchafuzi wa mazingira katika miji, majiji halmashauri bado changamoto, akiwataka viongozi wa maeneo kuongeza nguvu katika usimamizi wa kukabiliana na suala hilo. Mbali na hilo, Dk Mpango uharibifu wa misitu bado changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya kuishauri Serikali kuhusu masuala ya utunzaji wa…