TANZANIA, UFARANSA ZAENDELEA KUIMARISHA UHUSIANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI

UHUSIANO Baina ya Tanzania na Ufaransa umeendelea kuimarika hususani katika masuala ya biashara na uwekezaji ambapo kampuni zipatazo 27 kutoka nchini Ufaransa zimewasili nchini na kukutana na wafanyabiashara wa Tanzania na kujadili namna ya kufanya biashara na uwekezaji utakaonufaisha mataifa hayo mawili kwa kuangazia masuala ya muindombinu na usafirishaji, nishati, ukuaji wa miji na sekta…

Read More

Marufuku wananchi kuchangia maji na wanyama

Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew amezilekeza Mamlaka ya Maji na usafi wa Mazingira mkoani Morogoro (MORUWASA), Wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) pamoja na Bonde la Wami Ruvu kukamilisha miradi ya maji ili kutimiza lengo la Serikali juu ya upatikanaji wa maji kwa 95% mijini na 85% vijijini ifikapo…

Read More

Watatu watajwa kuondoka Namungo, Kagere awagawa viongozi

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba na Singida Fountain Gate, Meddie Kagere ni miongoni mwa wachezaji watatu wanaotajwa kwamba huenda wakakatwa wakati wa dirisha lijalo.  Inaelezwa kwamba tayari uongozi wa timu hiyo umeanza kusaka mbadala wa wachezaji hao ambapo mbali na Kagere aliyekuwa anaichezea kwa mkopo wa miezi sita, pia kuna  Pius Buswita na Derick Mukombozi…

Read More

Usimamizi wa matumizi salama ya mtandao

Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii ni suala muhimu katika jamii ya leo inayojikita katika teknolojia. Mitandao ya kijamii imerahisisha mawasiliano na kuwezesha watu kuungana na wengine ulimwenguni kote. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na mwongozo wa jinsi ya kutumia mitandao hii kwa njia yenye tija na yenye kuheshimu wengine. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa …

Read More