
DC Tanga awaomba wamiliki wa vyuo vikuu kuanzisha matawi ya vyuo vyao Tanga.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Jeams Kaji amewataka wamiliki wa vyuo vikuu hapa nchini kuangalia uwezekano wa kuanzisha matawi ya vyuo vyao mkoani tanga ili kukuza uchumi wa mkoa wa tanga. Dc Kaji ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa Habari katika maadhimisho ya kitaifa ya wiki ya elimu, ujuzi na ubunifu yanayo fanyika…