Kiongozi wa kuandaa Katiba mpya CCM hajazaliwa

HABARI kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo tayari kukaa meza moja ya mazungumzo na vyama mbalimbali kwa lengo la kufanya mjadala wa Katiba pamoja na maridhiano ni mgeni pekee wa siasa za Tanzania masikio yake yanaweza kusisimkwa na kuamini, maana kiongozi wa kuandaa Katiba Mpya kutoka chama hicho hajazaliwa. Anaandika Bupe Mwakiteleko … (endelea). Wamewachezea…

Read More

Ubunifu wa UDOM wamkosha Majaliwa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevutiwa na ubunifu uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu.  Waziri Mkuu Kssim Majaliwa, akieleza jambo wakati wa akiwa kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma, wakati wa kufunga…

Read More

WATOTO WAKIUME WAANGA WAKUBWA KUTUMIKISHWA KAZI KWENYE JAMII

Mwandishi wetu. MTANDAO wa kupinga utumikishaji watoto Tanzania, umesema watoto wa kiume ndio wahanga wakubwa wa kutumikishwa kazi katika jamii. Pia umesema watoto hao wamekuwa wakitumikishwa zaidi katika Mkoa wa Simiyu, Shinyanga na Mwanza kutokana na kuwa na shughuli nyingi za kiuchumi. Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam leo Mei 30,2024 na Mwenyekiti wa bodi…

Read More

Tuzo za TFF 2024 zawagawa wadau

SIKU chache tangu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) litangaze tuzo za soka kwa msimu wa 2023-2024 zitatolewa wakati ya Ngao ya Jamii ya uzinduzi wa msimu wa 2024-2025, wadau wameibuka wakionekana kuwaganyika juu ya uamuzi huo. Taarifa ya TFF kuhusu tuzo hizo kusogezwa mbele ilieleza sababu kubwa ni kuziboresha zaidi tofauti na misimu iliyopita japo…

Read More

Vincent Kompany kumsaka nyota wa Uingereza.

Vincent Kompany anamtaka nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza pauni milioni 35 kama uhamisho wa kwanza wa Bayern Munich Bayern Munich wanamfuatilia nyota wa Arsenal Oleksandr Zinchenko, ambaye anaweza kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Vincent Kompany kama meneja wao mpya. Kocha wa zamani wa Burnley Kompany aliwasilishwa kwa vyombo vya habari siku ya Alhamisi…

Read More

Buku 5 tu kunawaona Aziz KI, Fei Toto

MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar wana kiu ya kuona udambwidambwi wa Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi wa Yanga pamoja na mziki mnene wa vijana wa Azam FC wanaoongozwa na Feisal Salum, Kipre Junior, Abdul Suleiman na Gjibiril Sillah. Katika kuhakikisha wanapata burudani ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Yanga…

Read More