
Mke adaiwa kumuua mumewe nyumbani kwa mzazi mwenzake
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi wa Mtaa wa Katanini Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Ephagro Msele (43) kwa madai ya kumkuta kwa mzazi mwenzake. Kwa mujibu wa watu wa karibu na Msele, Mei 25, 2024, Beatrice baada ya kutoka msibani alikokuwa na mumewe, alimfuatilia kila…