
Paredi la ubingwa Yanga neema tupu
KATIKA msafara wa Yanga, bodaboda wamepata fursa ya kupiga pesa, kutoka kwa mashabiki ambao wamechoka kutembea na kuamua kutumia usafiri huo. Mwanaspoti lipo kwenye msafara huo, limeshuhudia baadhi ya mashabiki wakikubaliana bei na bodaboda ambao wamebeba abiria mmoja na wengine hawana watu kabisa. Kutokana na msafara kuwa na magari mengi yanayotembea taratibu,kumekuwa na foleni, inayosababisha…