
MRAMBA AONYA WANAOTEMBEA NA MAJINA YA WAGOMBEA MIFUKONI
Na Khadija Kalili Michuzi Tv KATIBU wa Siasa,Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),David Mramba ametoa onyo kali kwa baadhi ya wanachama wake kwa watu walioanza kampeni kabla ya wakati wa uchaguzi huku baadhi ya wanachama wake wakitembea na majina ya wagombea mifukoni mwao kua watachukuliwa hatua kali za kwenda kinyume na maadili. “Nasema…