
Fei Toto awahenyesha mashabiki wa Yanga kwa Mkapa
WAKATI Yanga ikiwa uwanjani ikipambana na Tabora United, mashabiki wa timu hiyo walikuwa kwenye presha kubwa iliyotokana na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’. Presha ya mashabiki wa Yanga ilitokana na kufuatilia kwao mchezo wa Azam FC na Kagera Sugar uliokuwa unapigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, ambao Fei Toto alikuwa tayari amefunga mabao mawili….