
Maafisa forodha mpaka wa Tunduma,maafisa ardhi Mbeya na Songwe wapatiwa elimu juu ya matumizi ya Zebaki
Maafisa Forodha wa mpaka wa Tunduma na Maafisa Mazingira wa Mikoa ya Mbeya na Songwe wapatiwa mafunzo juu ya Muungozo wa Uingizaji na Utumiaji wa kemikali ya Zebaki nchini. Mafunzo hayo yametolewa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali…