
Luvanga arejeshwa Twiga Stars | Mwanaspoti
BAADA ya kukaushiwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji nyota wa timu ya soka ya wanawake ya Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars kinachotarajia kushiriki mashindano maalumu. Clara aliyetwaa taji la Ligi Kuu ya Saudia akiwa na Al Nassr…