
Tutaendelea kupigania malengo ya afrika
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema dhamira ya Tanzania ni kukuza na kuendeleza amani na usalama barani Afrika ili kukuza na kuendeleza maendeleo ya kiuchumi kwa jamii na bara zima la Afrika. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Samia ametoa kauli hiyo leo Jumamosi wakati akifungua maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza…