
WAZIRI MKUU AVUTIWA NA UBUNIFU UDOM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, akieleza jambo wakati wa akiwa kwenye Banda la Chuo Kikuu cha Dodoma, wakati wa kufunga maadhimisho ya Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Tanga. ……. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, amevutiwa na ubunifu uliofanywa na Chuo Kikuu…