
China yapleka washambuliaji wa mabomu Taiwan – DW – 24.05.2024
Kwa mujibu wa televishini ya China CCTV, kwenye jaribio hilo washambuliaji kwa kushirikiana na vikosi vya wana maji walionekana wakifanya mashambulizi yasio halisi. Kadhalika washambuliaji hao walionekana wakipanga safu yao kijeshi kwa uelekeo wa safu kadhaa za mashambulizi katika upande wa bahari wa mashariki. Luteka hiyo ya kijeshi inafanyika ikiwa ni takriban siku tatu tu…