
Bilionea wa zao la parachichi anayeingiza Milioni 200 kwa msimu
AyoTV katika kambi iliyoweka Njombe imekutana na Mfanyabiashar na Mkulima maarufu wa maparachichi anaitwa Stiven Mlimbila elimu yake ni darasa la sabab alifaulu ila hakifanikiwa kuendelea masomo sababu ya kipato. Akaanza kufanya kazi ya saidia fundi, akawa fundi ujenzi na baadae akawa anafanya usafi katika Ofisi za Halmashauri Iringa akafukuzwa kazi hela akiwa kazini aliyokusanya…