Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: May 2024

  • Home
  • 2024
  • May
  • Page 8
Habari

TCAA yakabidhi vifaa kwa shule ya msingi Mnete-Mtwara

May 31, 2024 Admin

Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA imekabidhi vifaa vya shule na vya ofisi katika Shule ya Msingi Mnete iliyopo mkoani Mtwara ikiwa ni msaada kwa

Read More
Habari

Makonda kumtesa Samia kama ilivyokuwa Mwinyi na Mrema

May 31, 2024 Admin

RAIS Samia Suluhu Hassan, yuko hatarini kutumbukia katika shimo alilopitia aliyekuwa rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi. MwanaHALISI limeelezwa.

Read More
Habari

Jeshi la Kongo latangaza kuzima jaribio la waasi wa M23 – DW – 31.05.2024

May 31, 2024 Admin

Mizinga na aina nyingine za kombora zilitumiwa na pande zote mbili, huku jeshi la serikali likivurumisha mabomu kuelekea ngome za waasi kutokea Mugunga kando na

Read More
Habari

Mbunge aing’ang’ania Serikali maiti kuzuiwa kwa deni la matibabu

May 31, 2024 Admin

Dodoma. Suala la maiti kuzuiwa kutokana na madeni ya matibabu limeibuliwa bungeni, mbunge wa Segerea, Bonah Kamoli akieleza wabunge wamekuwa wakipigiwa simu kuombwa msaada na

Read More
Habari

MISA TAN YATOA TUZO KWA RAIS SAMIA KULINDA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

May 31, 2024 Admin

Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN) , Wakili James Marenga (kulia) akikabidhi tuzo ya kufanikisha  kulinda

Read More
Habari

Magari ya umeme sasa rasmi Tanzania.

May 31, 2024 Admin

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua magari yanayotumia mfumo wa umeme ikiwa ni jitihada za Serikali za kuwezesha wananchi

Read More
Habari

Mchungaji KKKT Mwanza mbaroni kwa kumbaka binti (15) mbele ya mdogo wake

May 31, 2024 Admin

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli

Read More
Habari

Rais Samia atua Korea akiambatana na mawaziri wanne

May 31, 2024 Admin

Seoul. Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Korea Kusini tayari kwa ziara ya siku sita, ambako pamoja na mambo mengine atashuhudia itiaji saini wa mikataba

Read More
Michezo

Mkude aliamsha mapema Unguja | Mwanaspoti

May 31, 2024 Admin

KIUNGO wa Yanga, Jonas Mkude, ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi hicho wanaofanya mazoezi kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Azam utakaochezwa

Read More
Habari

Jerome Boateng asaini LASK kama mchezaji huru.

May 31, 2024 Admin

Jerome Boateng anaingia kama mchezaji mpya wa LASK, akijiunga kama mchezaji huru kutoka Salernitana. Mkataba hadi 2026. Mkurugenzi Mtendaji wa LASK Gruber: “Inashangaza kabisa na

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 7 8 9 … 279 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.