
Atupwa jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto mwenye mtindio wa ubongo
Siha. Mkazi wa Kijiji cha Sanya Hoyee kilichopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ayubu Salungo (24), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka msichana wa miaka 16 mwenye mtindio wa ubongo. Mwendesha Mashtaka, David Chisimba amesema mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Elibahati Petro kuwa tukio hilo lilitokea Semptemba 20, 2023….