
Hospitali ya CCBRT yaungana na wanawake kuadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula ya uzazi
Kila mwaka ifikapo tarehe 23 Mei, dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula ya uzazi, ambapo kwa mwaka huu wa 2024, siku hiyo kitaifa inaadhimishwa mkoani Arusha. Wanawake wanaoendelea a matibabu ya fistula hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na watoa huduma wao nao pia wameadhimisha siku hii ya kimataifa ya kutokomeza fistula. Lengo la…