
Marekani kuitaja Kenya “mshirika wake mkuu” wa nje ya NATO – DW – 23.05.2024
Rais Ruto yuko ziarani nchini Marekani kwa siku tatu. Biden, pamoja na mambo mengine, anatarajiwa kulitaja taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo si mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO kuwa mshirika wake mkuu, wakati Kenya ikijiandaa kupeleka vikosi nchini Haiti kama sehemu ya juhudi zinazoongozwa na Umoja wa Mataifa kushughulikia mzozo wa usalama nchini humo. Kenya…