
TANESCO YAFIKISHA UMEME VIJIJI 538 RUVUMA
Na Yeremias Ngerangera …Songea. Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Meneja wa Tanesco Mkoa wa Ruvuma Eliseus Mhelela alisema vijiji vinavyopata umeme vimeongezeka kutoka vijiji 489 mwezi marchi 2024 Hadi kufikia vijiji 538 mwezi mei 2024. Mhelele alisema ongezeko Hilo linatokana na kazi zinazofanywa na wakandarasi walioko katika vijiji mbalimbali wakiendelea na kazi ya…