Wafanyabiashara Soko Kuu Mwanjelwa wagoma

Mbeya. Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mwanjelwa jijini Mbeya wamegoma kufungua maduka yao na kusababisha adha kwa wananchi ya kukosa huduma. Mwananchi Digital imefika sokoni hapo leo Alhamisi Mei 23, 2024 na kushuhudia milango yote imefungwa huku baadhi ya wananchi waliofika kupata huduma wakiduwaa wasijue la kufanya. Baadhi ya wafanyabiashara ambao wamegoma kurekodiwa wamesikika wakilalamikia…

Read More

UZINDUZI WA ‘MILIKI SIMU, LIPA MDOGO MDOGO’

 Highlights on the launch of ‘SIMU MPYA KWENYE MFUMO WA MILIKI SIMU, LIPA MDOGO MDOGO’ Vodashop Paloma, May 2024 Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Bwana. George Lugata amesema     Lengo mojawapo la Vodacom Tanzania PLC ni kuhakikisha tunaipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali, na hili litafikiwa kwa kuwaletea Watanzania…

Read More

Ihefu yamnyatia Waziri Junior | Mwanaspoti

VIONGOZI wa Ihefu, wamevutiwa  na kiwango anachokionyesha mshambuliaji wa KMC, Waziri Junior na tayari wameanza mazungumzo naye, kama watafikia mwafaka huenda msimu ujao akawa sehemu ya kikosi chao. Junior ambaye msimu uliopita alimaliza na bao moja alifunga dhidi ya Geita Gold, Ligi Kuu inayoendelea amekuwa na kiwango kizuri hadi sasa anamiliki mabao 12 na asisti…

Read More

Wananchi walalamikia rushwa kituo cha afya “walichukua zaidi ya laki mbili kumtibu “

Wananchi katika Kata ya Nyarugusu Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani Geita wamewatuhumu kwa kuwalalamikia Baadhi ya watumishi wa kituo cha afya Nyarugusu Kwa kuomba rushwa kwa Mgonjwa anayekwenda kupata matibabu pkituoni hapo bila kupewa stakabadhi ya Malipo huku wakiomba TAKUKURU kuchunguza watumishi hao. Wakizungumza katika Mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi…

Read More

Simulizi ya mafanilio, changamoto za wanawake wauza ndizi mtaani

Moshi. Wakati baadhi ya watu wakiitazama biashara ya ndizi mbivu mitaani kama ya kimasikini, ukweli ni kwamba biashara hiyo imekuwa mkombozi kwa wanawake wengi katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Biashara hiyo imewapa mafanikio kama vile kujenga nyumba, kusomesha watoto, kusaidia familia zao mahitaji muhimu ya kila siku huku wakijisikia furaha kuifanya kama ajira inayoendesha…

Read More

Saido atumia siku 150 kumpindua Baleke Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ametumia siku 150 kumpindua aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Jean Baleke katika ufungaji wa mabao ndani ya timu hiyo baada ya kufunga mawili katika ushindi wa 4-1, dhidi ya Geita Gold. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jana, Saido alifunga…

Read More