Watu 36 waliwa na mamba Buchosa

MBUNGE wa Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo ameiomba Serikali kuchukua hatua za dharura kuokoa maisha ya wananchi wa wilaya hiyo hasa ikizingatiwa jumla ya watu 36 wameuawa na kuliwa na mamba katika kipindi cha miaka mitatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Amesema mbali na kuwa na majina ya watu wote waliopoteza maisha kutokana na kukithiri…

Read More

Dakika 47 za Mdee akikomalia bajeti Wizara ya Ujenzi

Dodoma. Dakika 47 zimekuwa moto bungeni baada ya hoja ya kutaka ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa miradi kwa mfumo wa EPC +F iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee kusababisha vuta- nikuvute ya wabunge. Mfumo wa EPC +F ni utaratibu wa utekelezaji wa miradi unaoruhusu kampuni au mkandarasi kuwa jukumu la kusimamia hatua zote kuu…

Read More

Simba, Yanga kupitisjha fagio la chuma

DURU za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo huenda likawa na sapraizi ambazo huenda zikaacha mijadala kwenye vijiwe vya kahawa. Lakini za ndaani kabisa ni kwamba hilo lazima lifanyike ili mabadiliko yaonekane kwenye pichi msimu ujao wa kimashindano…

Read More

Wataja vikwazo vinne elimu ya ufundi

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwa imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala mipya kwa elimu ya Sekondari, wadau wametaja vikwazo wa utoaji wa elimu ya amali ikiwamo ufinyu wa bajeti. Pia, wametaja kutoandaliwa kwa walimu kufundisha mitaala hiyo, ukosefu wa miundombinu na vifaa, uelewa mdogo…

Read More

2023/24 ulikuwa msimu wa rekodi

LIGI Kuu Tanzania Bara ilimalizika wiki hii kwa aina yake huku rekodi kibao zikiwekwa kwenye maeneo mbalimbali. Makocha na wachezaji walikiri ulikuwa ni msimu wenye ushindani zaidi uwanjani, viongozi wakakazia ilikuwa ni ligi ngumu na wenye mamlaka ya soka nchini wakakubali mchezo huo kukua kwa kasi. Licha ya furaha kwa Yanga na Azam zilizomaliza nafasi…

Read More

Frank Lampard ameibuka kama mpinzani wa ghafla wa kuwa meneja mpya wa Burnley baada ya kuondoka kwa Vincent Kompany.

Nahodha huyo wa zamani wa Manchester City alitarajiwa kuwa sehemu ya mustakabali wa Clarets baada ya kushindwa kuwaweka kwenye Premier League msimu huu. Lakini, kama ilivyofafanuliwa na Mail Sport wiki jana, Bayern ilizindua ombi la kushtukiza la kumvuta kutoka kwa Turf Moor kabla ya kukubaliana na kutangaza uteuzi wa mshtuko Jumatano. Burnley baadaye walithibitisha kwamba…

Read More