
Basi la Takbir lapata ajali Singida
Singida. Basi la kampuni ya Takbir lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Geita limepata ajali na kujeruhi watu 18. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Mei 23, 2024 eneo la Manga lililopo Wilaya ya Singida mkoani Singida. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Amon Kakwale amezungumza na Mwananchi leo kwa njia ya simu na kuthibitisha…