
TMA: Hakuna tena tishio la kimbunga laly
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kwa sasa hakuna tena tishio la kimbunga Ialy katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Taarifa ya TMA kwa ummya waliyoitoa saa 4:00 usiku wa jana Jumatano, Mei 22, 2024 ilisema wanahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga Ialy zilizokuwa zikizitoa tangu Mei 17, 2024. …