
MAANDALIZI UJENZI WA BARABARA YA MWEMBE – MBAGA HADI MAMBA KM 90.19 KWA LAMI YAANZA
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi, Godfrey Kasekenya amesema Serikali imeanza maandalizi ya kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina katika utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Mwembe-Mbaga iliyoko Same Mkoani Kilimanjaro. Mhe.Kasekenya ameyasema hayo leo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu Swali la Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Mhe. David Mathayo David aliyetaka kujua ni…