
MADAKTARI BINGWA WA SAMIA WAFANYA UPASUAJI KUONDOA MWIBA KWA MTOTO WA MWAKA MMOJA
Na WAF – Tanga Jopo la Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia waliokita kambi kwenye Hospitali ya Jiji la Tanga iliyopo Kata ya Masiwani mapema leo Mei 22, 2024 wamefanya upasuaji wa kuondoa mwiba uliokwama kwenye koo la mtoto mdogo wa mwaka mmoja na nusu uliodumu kwa muda wa wiki moja. Dkt. Salehe Mlutu ambaye ni…