
WATENDAJI WIZARA YA NISHATI NA TAASISI WAPATA MAFUNZO YA MFUMO WA PEPMIS NA PIPMIS
-Wakurugenzi, Wakuu wa Idara watakiwa kusimamia vema mfumo wa PEPMIS Dodoma Watendaji wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake leo 22 Mei,2024 wamepata mafunzo ya upimaji utendaji kazi kutoka kwa Wataalam wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ili kuboresha utendaji kazi kupitia mfumo wa PEPMIS na PIPMIS. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo…