
Viongozi wa dini wavunja ukimya wenzao kujiua
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na mjadala kuhusu matukio ya hivi karibuni ya watumishi wa Mungu kujiua, viongozi wa dini wameeleza wao pia ni binadamu wenye changamoto zinazowakabili, hivyo isionekane ajabu wanapohitaji msaada. Viongozi hao wameweka bayana kama ilivyo kwa binadamu wengine hata wao kuna wakati hupata msongo wa mawazo, hivyo ni muhimu kukawa na…