
Ahueni mawasiliano Kilwa Masoko – Liwale yakirejea
Liwale. Mawasiliano yaliyokatika kati ya wilaya za Kilwa Masoko na Liwale mkoani Lindi yamerejeshwa baada ya ukarabati wa daraja la muda katika Mto Zinga. Kukatika kwa daraja hilo ambalo pia linaunganisha vijiji vya Zinga na Miguruwe mbali ya kuathiri shughuli za usafirishaji, liliathiri masomo kwa wanafunzi waliolazimika kupita ndani ya maji ili kuifikia shule. Mawasiliano…