
WAZIRI MKUU AAGIZA UANZISHWAJI WA MADAWATI YA SAYANSI, TEKONOLOJIA NA UBUNIFU KWENYE HALMASHAURI
Raisa Said,Tanga WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote nchini, kuhakikisha kwenye maeneo yao zinaanzisha madawati ya sayansi,teknolojia na ubunifu, ili kuweza kukuza na kulea bunifu mbalimbali katika halmushauri kwa vijana waliopo kwenye sehemu hizo. Hayo aliyasema.wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kitaifa ya elimu,ujuzi na ubunifu 2024 ,yaliofanyika mkoani Tanga. Alisema kwa kufanya hivyo…