
WAFUGAJI KUNUFAIKA KIUCHUMI KWA MIKOPO YA BILIONI 26 ZA TADB
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kupitia mradi Jumuishi kati ya wasindikaji na wazalishaji wa Maziwa (TI3P), unaotekelezwa na benki hiyo ikishirikiana na Heifer International na Land o Lakes, imetoa mikopo yenye thamani ya bilioni 26 katika sekta ya maziwa. Hayo yameelezwa leo na Meneja wa Kanda TADB, Alphonce Mokoki,…