NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, leo Juni 4, 2024, katika Uwanja wa Bomang’ombe, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambapo mbali ya umati mkubwa wa wananchi, Balozi Nchimbi na msafara…

Read More

Wanafunzi 5,818 kujiunga kidato cha tano Zanzibar

Unguja. Wanafunzi 5,818 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano kisiwani hapa. Idadi hiyo ya wanafunzi imeongezeka kutoka 4,415 mwaka 2023 hadi kufikia 5,818 mwaka 2024 sawa na asilimia 21. Kati ya hao wasichana ni 3,352 na wavulana ni 2,466. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Jumanne Juni 4, 2024, Naibu Waziri wa…

Read More

Bei za petroli, dizeli zashuka kiduchu

Dar es Salaam. Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam inayoanza kutumika leo Juni 5, 2024 imeshuka kwa Sh52.72 na kufikia Sh3, 261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi uliopita. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei ya dizeli inayochukuliwa…

Read More

Polisi watatu kizimbani wakidaiwa kupokea rushwa ya Sh55 milioni

Songwe. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imewafikisha mahakamani waliokuwa askari polisi watatu wakishtakiwa kwa kuomba na kupokea rushwa.  Askari hao waliokuwa wanahudumu katika Kituo cha Polisi Tunduma, wilayani Momba, wanashtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh55 milioni. Washtakiwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo…

Read More

Wananchi waitwa kutoa maoni Dira ya Maendeleo 2050

Dar es Salaam. Tume ya Mipango, imewaita wananchi kushiriki kutoa maoni ikiwamo kutuma ujumbe mfupi kuhusu dira ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050. Dira ya Taifa ya maendeleo ni picha au maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi katika siku za usoni. Wito huo umetolewa leo Jumanne Juni 4, 2024 Katibu Mtendaji wa…

Read More

Huduma za Posta zitumie teknolojia ya kisasa

Arusha. Serikali imewataka wataalamu kuitumia teknolojia ya Habari na Mawasiliana (Tehama) kuboresha huduma za Posta barani Afrika, baada ya kukua kwa teknolojia na matumizi ya mitandao kutajwa kama changamoto kwenye utendaji wake. Ushauri huo umetolewa jana Juni 3, 2024 na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dk Mzee Suleiman Mndewa wakati akifungua…

Read More

CCM yawapongeza Mbowe, Lissu kuongoza maandamano

Hai. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amempongeza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu wake-Bara, Tundu Lissu kwa kufanya maandamano kwani yanakisaidia katika medani za siasa za kimataifa, kuonyesha Tanzania kuwa na demokrasia ya kweli. Dk Nchimbi amesema hayo leo jioni Jamanne, Juni 4, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika…

Read More

Profesa Makubi ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji BMH

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Kabla ya uteuzi huo Profesa Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Hayo yamebainishwa leo Juni 4, 2024 kwa taarifa iliyotolewa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus. Prof…

Read More