
Majibu ya Bashe kwa Mpina uagizaji sukari nje
Dodoma. Serikali imeweka msisitizo ikisema changamoto iliyojitokeza mwanzoni mwa mwaka huu ya bei ya sukari kupaa halitajirudia. Kauli hiyo imetolewa baada ya hoja kuhusu sukari kujitokeza wakati wa mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024/25 bungeni jana Juni 4, 2024. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuruhusiwa wafanyabiashara…