
MWENYEKITI WA BODI TBS AFURAHISHWA UTENDAJI KAZI OFISI ZA MPAKANI
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiongozwa na Mwenyekiti Profesa Othman Chande Othman imetembelea ofisi za TBS zilizopo mipaka ya Namanga, Holili, Tarakea na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Ziara hiyo imefanyika kuanzia tarehe 3 Juni hadi Juni 5 mwaka huu ambayo ilihusisha mipaka iliyopo kwenye mikoa ya Arusha…