
Mhagama aziita taasisi kushirikiana kuleta ustawi wa maisha, maendeleo
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema maafa yakitokea yanarudisha nyuma uwezo wa Serikali kuwahudumia wananchi, hivyo ushiriki wa taasisi za kijamii ni muhimu katika kuisaidia kulinda ustawi wa maisha ya raia na maendeleo kwa ujumla. Amesema kwa kutambua hilo Serikali ina maono kupitia sheria…