
Mzigo wa talaka kwa wanawake-1
Kumekuwa na malalamiko, majadiliano na tafiti nyingi kuhusu ongezeko la talaka nchini. Wengi wanaamini na inavyoonekana moja kwa moja, kwamba suala hili la talaka linaathiri watoto kwa kiasi kikubwa. Katika mijadala mingi, wazazi na wataalamu wa malezi wanakubaliana kuwa talaka inaweza kuwa na athari kubwa kwa watoto. Watoto wanapitia mabadiliko makubwa katika mazingira yao ya…