
Wanajeshi wanne wa Israel wauawa kwa mlipuko
Rafah. Jeshi la Israel (IDF) limethibitisha vifo vya wanajeshi wanne vilivyotokana na mlipuko uliotokea Juni 10, 2024 wakati wa mapigano kati yao na Hamas, eneo la Rafah Kusini mwa Gaza. IDF imewataja wanajeshi hao kuwa ni Sajenti Eitan Karlsbrun (20), Meja Tal Pshebilski Shaulov (24), Sajenti Yair Levin (19) na Sajenti Almog Shalom (19) waliokuwa…