
WANAHARAKATI WA JINSIA WATARAJIA MABORESHO MAKUBWA BAJETI YA MWAKA 2024/2025
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo wameelezea matarajio yao katika bajeti ya mwaka 2024/2025 ambapo wanatarajia uboreshwaji katika sekta maji, afya na elimu kutokana na kuonekana kuwa na changamoto kwenye maeneo mengi. Akizungumza katika Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) leo Juni 12, 2024 Jijini Dar es Salaam Mwanaharakati…