
Vijana 30,000 waguswa tamasha Twenz’etu kwa Yesu
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Zaidi ya vijana 30,000 wamebadili maisha yao kupitia tamasha linaloandaliwa kila mwaka na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Tamasha hilo lijulikanalo kama ‘Twenz’etu kwa Yesu’ lilianza mwaka 2014 limekuwa likiwakutanisha vijana wa dini na madhehebu mbalimbali kutoka Jiji la Dar es Salaam na…