
Safari ya MCL kuelekea mustakabali endelevu wa mazingira
Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeahidi kuendelea kutoa maudhui kwa njia ya dijitali kupunguza athari za uharibifu wa mazingira. Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Bakari Machumu amesema kampuni imejitathmini na sasa imejikita zaidi katika mitandao ya kijamii ingawa bado inaendelea na uchapishaji wa magazeti. Machumu amesema haya kwenye Jukwaa la Fikra lililoandaliwa…