
Wafanyabiashara Mara walalamikia makato ya benki, watunza fedha nyumbani
Musoma. Baadhi ya wafanyabiashara mkoani Mara wamelalamikia uwepo wa makato makubwa kwenye taasisi za kifedha hasa benki hali inayosababisha baadhi kutokutunza fedha kwenye taasisi hizo. Madai hayo yametolewa mjini Musoma leo Juni 15, 2024 kwenye kongamano la klabu ya wafanyabiashara wa NMB. “Kuna makato makubwa, sijui ada, kodi na mengine mengi, kwa hiyo mtu anaona bora…