
Sababu tatu viwanda kudorora Tanga, wananchi wapinga dhana ya uvivu
Tanga. Nini kimesababisha mkoa wa Tanga kuporomoka katika sekta ya viwanda? Hili ndilo swali linagonga vichwa vya Watanzania wengi, huku baadhi wakitaja sababu tatu kuwa ndio kiini, na kupinga dhana kuwa wao ni wavivu. Kati ya mwaka 1960 hadi 2000, Tanga ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa ikisifika kwa kuwa na viwanda vingi vilivyochochea ukuaji wa…