
Mahakama Kuu ilivyowanusuru wavuvi waliofungwa kwa kukutwa hifadhini Rubondo
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita imewaondolea hatia wavuvi watatu ya adhabu ya kifungo gerezani baada ya kukiri makosa ya kuingia kijinai na kukutwa na nyavu haramu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Rubondo. Mahakama hiyo katika uamuzi wake uliotolewa na Jaji Griffin Mwakapeje Juni 14, 2024, imefikia uamuzi huo baada ya…